https://www.youtube.com/watch?v=pJZBaDOTkHE
Ni matumaini yangu wenye hekima watatawala katika kuamua kuua au kuacha vitu viharibiwe tu ikibidi. Kama bado wanafikiria kutetea mali na kuua miili basi wafikirie tena. Dunia haijawahi kufanya kumbukumbu ya mali zilizoharibiwa, majumba au ofisi...