Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imeonya, EU imeonya, US imewaonya hata Kanisa limewaonya achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Khamenei alionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonywa sisi asiue wananchi wake, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Kama serikali ya CCM haijajifunza na kama hajajifunza atajifunzia kaburini.
1772256408711.jpg
 
Who are you!?
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
nonsense,
Tz haina cha kujifunza nonsense Iran
 
Mnaomtegemea mchina na mrusi mjifunze yeye biashara ikiisha hana habari na wewe.
Tanzania inajitosheleza kwa kiasi cha kutosha na inajitegemea kwa kiasi kikubwa kisiasa, kijamii na kiuchumi, na kamwe haitegemei marafiki kwa chochote.

ni vizuri hiki kikafahamika vema ndugu wadau
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Mkileta upuuzi mtauliwa tu! Hakuna kucheka na wapuuzi.Keytima sindio anawafundisha kutukana viongozi wa Nchi! Mtachezea njugu tu na udini wenu
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Watakwambia USA inataka mafuta🤣🤣
 
Back
Top Bottom