Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Who are you! Hatukua na namna hiyo ilikuwa ndiyo njia pekee.
 
Waliomuua Ayatollah Khamanei waje wamuue huyu. Mkojani aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu. Nchi itakuwa full shangwe kuondokewa na hili subiani.
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Kilichomponza Khamenei wala hata sio suala la yeye kuwa dikteta, bali ni suala la mpango wake wa kurutubisha Uranium ili kuunda Silaha za Nyuklia.

iran kumiliki nukes (nuclear weapons) ingekuwa tishio kwa Israel na Saudi Arabia ambao ni washirika wa USA, na wanamsaidia USA kucontrol eneo la Middle East na eneo la Gulf ili kulinda interest za USA eneo hilo.

Hili eneo ni muhimu mno kiuchumi sabb routes nyingi za mafuta zinapitia pale (karib 32% ya mafuta duniani yanayosafirishwa hupitia pale, middle east na eneo la Gulf)

So, USA kama taifa lenye nguvu kiuchumi, kiteknolojia na kijeshi, na lenye ambition za kuendesha dunia, ni lazma ilitolee macho hilo eneo na kuli-control.
So, nchi yoyote itayojaribu kutishia eneo hilo na kuharibu maslahi ya USA lazma italeta shida, sabb ya ambition za USA kucontrol dunia.

Kama ni kubambikiwa kesi, hata USA pia watu wanabambikiwa kesi (mara kadhaa tu tumesikia kesi za polisi na mauaji huko USA)

Na kilichopomponza Maduro ni hifadhi ya mafuta iliyopo Venezuela (na sabb za kwamba utawala wake ni wa mabavu, ulitumiwa tu ili kuhalalisha kutekwa kwake)

Kama ni mabavu, USA wanatumia sana, sema ni vile wao wako so powerful na wanapata sapoti ya nchi heavy heavy pia kama UK, Canada, France, Germany) so they are almost untouchable.
Kama ni kuua raia, USA pia wameua katika nchi zote walizoenda kivita (Vietnam, Iraq, etc.)

Hata hivyo, wanachofanya USA hata mie ndo ningekuwa Rais wa USA ningefanya hivyo hivyo ili kuzuia nchi zingine zisiwe na nguvu kuzidi USA, ili USA pekee ndo ibakie kuwa mbabe, na kuamua direction ya kila nchi, ili kulinda status ya taifa lao as the ultimate superpower.
 
nonsense,
Tz haina cha kujifunza nonsense Iran

Acha kiherehere unajuaje kama mamaduro hajajifunza? Kakwambia? Kama chawa hujajifunza usijipendekeze kujibia wengine wasiokuhusu
 
Hata kama ni Sovereignty state.

Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza.

Serikali ya Tanzania imeonywa sana, kuwa, acheni kuwanyanyasa wananchi wenu, acheni kuwaua wananchi wenu, acheni kuwatesa, kuwateka, kuwabambikia kesi.

UN imetuonya, EU imetuonya, US imetuonya hata Kanisa limetuonya, achaneni na kesi ya mchongo ya Lissu, mruhusu demokrasia ya vyama nchini, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari.

Kama hakujifunza kwa Maduro na kama hatajifunza kwa Ayatollah basi atajifunzia kaburini.
Wamekariri tu kuwa watanzania waoga. Sasa waapongezana kwamba ule mkong'oto wa Oktoba 29 hutakuja kusikia tena watanzania wanajitokeza kwenye maandamano mpaka mwisho wa Dunia.
 
Back
Top Bottom