kuzeeka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naogopa kuzeeka

    Nimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea. Sasa najiuliza swali kwa hawa wazee wangu, kwa nini umri unavyozidi kusogea ndio miili yao inarudi utotoni/ inakuwa midogo...
  2. Rashida Wanjara amegoma kuzeeka

    Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida Wanjara. She is still looking young and energetic, kumbe wakuu kujitunza muhimu Maana Dada zetu wengine wamezaliwa 2000s Ila wameshaisha. Siri anasema ni kuweka balance katika mambo yote.
  3. Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle. Maana yake ni nini Kuwa na tahadhari Kama Wazee Punguza nights out...
  4. Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  5. Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  6. Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

    Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno. Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili. Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
  7. Kwanini siku hizi watoto wa miaka ya 2000 kuja juu wanaonekana kuzeeka na kuchoka mapema tofauti na umri wao?

    Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao. Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!. Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi...
  8. Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  9. Yondani anazidi kuzeeka lakini bado ana usela mavi

    Umofia kwenu. Wakuu majuzi ilikuwa birthday ya yondani kama sikosei. Jamaa ni moja ya ma legend katika ligi yetu na bongo kiujumla. Hivyo u_legend wake ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa wadogo zake kina mzize lakini bwana mkubwa bado ana usela wa kizamani. Achana na matukio yake mengi kama vile...
  10. Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

    Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26...
  11. Ni ukweli gani wenye huzunisha kuhusu kuzeeka?

    Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili kukubaliwa katika kitu unachokitaka. Hii ni licha ya kuwa na akili na ujuzi wa kutosha wa kufanikiwa katika...
  12. D

    Ni vitu gani ambavyo huvipi kipaumbele zaidi unapozidi kuzeeka?

    Top 2 zangu ni: (1) SEX - Hii bado ina matter ila kidogo sana sio kama zamani nadhani ni kwasababu ya ubusy na kufocus zaidi kwenye majukumu ya kutafuta kipato. Kama unavoelewa too much sex huwa ina madhara hasa kwetu wanaume coz ina-drain nguvu ya mwili na akili hivyo najaribu pia kuepuka sana...
  13. Ukiona una tabia hizi basi jua unaanza kuzeeka

    Ukiona unafanya yafuatayo basi jua umeanza kuzeeka, upo nyuma ya muda: 👉Kuwa hasira bila sababu ya msingi: ishu ndogo mara anakua agressive balaa 👉Kuilaumu serikali Kwa ishu zako binafsi: Hapa mtu Hana pesa anaanza Kuilaumu serikali🤣🤣 serikali ifanyeje Sasa? 👉Kukosoa kosoa watu na kuona Kila...
  14. Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  15. S

    Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  16. Vijana wengi wanaokimbilia mijini wakitokea vijijini wanajiandaa kuzeeka wakiwa maskini

    Hello! Kasi ya vijana kukimbilia mjini hasa Dar es Salaam imekuwa kubwa mno na inatisha. Ni kawaida sasa kila kijana uliyesoma naye primary au sekondari ukimuulizia yuko wapi atakuambia yuko Dar. Ilinifanya mpaka Takwimu za NBS kuhusu idadi ya wakazi wa Dar es Salaam niliona imepunguza idadi...
  17. Nikifanikiwa kuzeeka...

    .......Nikifanikiwa kuzeeka Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra. Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu. Nitawasisitizia kuwekeza japo kidogo, kwa kuwa hawajui...
  18. K

    Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui hata kama anawashauri huyu.
  19. Wendy Williams amekataa kuzeeka kabisa, miaka 58 lakini bado mbichi kabisa

    Mange Kimambi wa mambele.
  20. Fanya vitu hivi ili usizeeke haraka

    Habari Wana JF niende kwenye mada VITU VYAKUZINGATIA ILI USI ZEEKE HARAKA. Punguza kula nyama kwa wingi. Punguza kunywa pombe Kali au acha kabisa hasa hunywaji wa pombe za kienyeji matumizi ya madawa yakulevya. Uvutaji sigara Aina zote ..punguza au acha kabisa. Nyeto pia punguza au acha kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…