Naona speed or rate ya kuzeeka kwa Gen Z ni kubwa tofauti na ya Millennials

Naona speed or rate ya kuzeeka kwa Gen Z ni kubwa tofauti na ya Millennials

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
2,919
Reaction score
5,558
Hili alifichiki Gen Z rate yao ya kuzeeka ipo kasi sana tofauti na Millennials.

Wengi wana miili mikubwa, nywele zikuwa brown au nyeupe mapema na sura zao zinakomaa mapema sana. Hii ni tofauti na kipindi Millennials walipokuwa na umri kama huo, na ndio maana wale Millennials wa mwisho mwisho huwezi kuwa tofautisha na Gen Z tena wao wanaonekana ni wadogo zaidi ya hao Gen Z.
 
Back
Top Bottom