Naona speed or rate ya kuzeeka kwa Gen Z ni kubwa tofauti na ya Millennials

Kujifunza na wanawake wengine kupata tuzo za biashara zao, na mambo kibao ya wanawake tu!

Ndio kama ile ya Dodoma Haika akasema wanaweza miliki mia kwa mia mara sijui viwanja, biashara n.k
 
Hapana! Hii mara nyingi nii ya wanawake wapambanajo, wale wajasiriamali, labda washonaji unakuta wanashindana kutoa mitindo then mnaipigia kura atalayeshinda anapata tuzo! Dina marios mara nyingi nia yake ni kunyanyua wanawake kiuchumi kwa mawazo na mashindano! Sio kuwajaza viburi kuhusu mahusiano wala ndoa!
 
Sasa si ndio huwa wanaalikwa baadhi ya hao wanawake walifanikiwa wanatoa semina kwa hao wanawake wenzao ndio kwamba wanapeana maujanja kwani ile ya Dodoma si hao hao akina Dina Marios na wanawake wengi walialikwa na sare walivaa ndio wakawa wanaongea mambo mbalimbali ya kupeana moyo.
 
Back
Top Bottom