BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
ndege mdinya kumbe wewe sio GEN ZSisi wa mwaka 47 bado tunadunda tu.
ndege mdinya kumbe wewe sio GEN ZSisi wa mwaka 47 bado tunadunda tu.
Mhm kwenye vimiminika sio kweli
[/QUOT
Idara nyeti imeguswa bwashee 🤣🤣🤣
Tambua kuwa vimiminika sasa vimekuwa vingi na vigi pia ni fake sana. Bora hata zile piwa wameku wetu walikuwa wanapika kule pichini
Stress za Betting
Pombe kali fake
Junk food.
Kweli hasa pombe na ukizingatia kula yenyewe shida.Mhm kwenye vimiminika sio kweli
Sisi wa mwaka 47 bado tunadunda tu.
Mimi si GenZ kabisa.ndege mdinya kumbe wewe sio GEN Z
Sana, hii ni kutokana na kuzingatia mlo mzuri n.k.Yes wengi miili yao ni imara sana.
Naona mnakimbizana na wasira.Mimi si GenZ kabisa.
Kabisa, lakini kimwonekano wasira kazeeka sana. Sisi tuko ngangari.Naona mnakimbizana na wasira.
Kama kweli vileHili alifichiki Gen Z rate yao ya kuzeeka ipo kasi sana tofauti na Millennials.
Wengi wana miili mikubwa, nywele zikuwa brown au nyeupe mapema na sura zao zinakomaa mapema sana. Hii ni tofauti na kipindi Millennials walipo kuwa na umri kama huo, na ndio maana wale Millennials wa mwisho mwisho huwezi kuwatofautisha na Gen Z tena wao wanaonekana ni wadogo zaidi ya hao Gen Z.
When I was 30 I looked 20,now I'm nearly 50 I look 40! Lifestyle inazeesha sana!Nao si wanakuwa, wanazeeka ni kweli, GenZ wa '98 amebaki kidogo kufika 30yrs. Unadhani maisha yanasimama!!