Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatieš
Kaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatieš
Ujue ile ni kemera mamnyong'ode!!!! Nina watoto wawili na majukumu oredeHata kuiandika tu hujazoea acha zako dogoš
Hahahaha š tukutane jumammosi kitchen galaKaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatieš
Mimi mwenyewe ningeamua ningekuwa nao hata sita sasa hivi! Ni maamuzi tu wala havihusiani!Ujue ile ni kemera mamnyong'ode!!!! Nina watoto wawili na majukumu orede
Kuna kitchen gala wapiHahahaha š tukutane jumammosi kitchen gala
Kwan tunashindana boss š¤Mimi mwenyewe ningeamua ningekuwa nao hata sita sasa hivi! Ni maamuzi tu wala havihusiani!
Dina marios šKuna kitchen gala wapi
Ndio!Kwan tunashindana boss š¤
Unaninyanyasa sioNdio!
Nina muda sijaingia insta kumbe kuna gala mwezi huu, nilipie basi vip na kitenge bossšDina marios š
Ndio, lazima unyooshweUnaninyanyasa sio
Hahahaha kitenge cha nn nunua ya dukanNina muda sijaingia insta kumbe kuna gala mwezi huu, nilipie basi vip na kitenge bossš
Kitchen gala huwa tunavaa sare jamanišHahahaha kitenge cha nn nunua ya dukan
Hv lengo la zile kitchen gala za dina ninn š¤Kitchen gala huwa tunavaa sare jamaniš
Kaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatieš
Kujifunza na wanawake wengine kupata tuzo za biashara zao, na mambo kibao ya wanawake tu!Hv lengo la zile kitchen gala za dina ninn š¤
Maisha magumu pote, vijana kazeniUmeonae na ugumu wa maisha sio mchezo
Maisha magumu pote, vijaza kazeni