cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
I'm nearly 50 but I look 55!When I was 30 I looked 20,now I'm nearly 50 I look 40! Lifestyle inazeesha sana!
Ili kichwa Kiwe sawa unategemea wanywe bia ngapi na Hela watatoa wapi.?Madogo wanakunywa sana gongo za kwenye vikopo na vichupa vya plastic wenyewe wanaita vijogoo sijui visungura wanavinywa vibaya mno
Pesa hizoI'm nearly 50 but I look 55!
Mimi nipo ya nne lakini ukiniona kama kaka yake Wasira na mdogo wangu wariobaNashangaa hapo wizzo, mie nakaribia floor ya 3 very soon, ila watu hawaamini, wanahisi hata floor ya 2 sijafika.
😂😂😂
Moise jiografi...Una kichaa wewe.Si bure. Kwamba wewe ni m-sweet na mbunye nono? Kudaaadeekii!
Mimi naonekana niko 60s pia
Hpn mamnyong'ode mm ni kizee atiiMimi naonekana niko 60s pia
Ila we ni 20s acha kuchota watu!
Hapana we bado sana!Hpn mamnyong'ode mm ni kizee atii
Hahahaha aseeh nina there ujue 😂Hapana we bado sana!
Hata kuiandika tu hujazoea acha zako dogo😆Hahahaha aseeh nina there ujue 😂
Bora umeongea wewe ma mkali!
Millennials hawajazeeka ama sijakuelewa msee 😅
Millennials hawa hawa ambao wamejaziana kama rumbesa
Hawa vijana sijui wanakula nini, inashangaza sana wanavyozeeka haraka! Kijana mdogo tayari ana midevu tele, upara, mvi kibao mpaka kwenye kwenye ndevu, kitambi. Hawa kutoboa miaka 70, 80, 90 hadi 100+ ni majaaliwa. Miaka 30 tu wanaonekana ni wazee
When I was 30 I looked 20,now I'm nearly 50 I look 40! Lifestyle inazeesha sana!