Kupitia mtandao wa X, mwanaharakati mmoja ameandika ujumbe akimanisha kiongozi mmoja mkubwa ambae kwa sasa ni mstaafu, amezuiwa kuingia katika nchi moja ya mabeberu.
Binafsi naona nchi hiyo itakuwa ni US kwani kwa nchi za Ulaya, ukipigwa ban, mara nyingi ban hiyo ni kwa nchi wanachama wote wa...