Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade.
Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari...