Wasalaamu
Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.
Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli?
Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita...