Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...