laptop

  1. Je unasumbuliwa na uchache wa Port kwenye laptop yako?

    Kama laptop au computer yako ina port chache bas hii USB HUB itakusaidia kusulisha tatizo lako kwa kuweza kuchomeka flash disk zaidi ya 8 kwa wakati mmoja. Utaipata kwa Tsh 25,000 tu Pigasimu 0687391033 WhatsApp 0652565597
  2. Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  3. Computer4Sale Acer laptop for sale

    Sold
  4. INAUZWA Alminium stand za Laptop

    STAND ZA LAPTOP. Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, matumizi ya kompyuta ndogo (laptop) yamekuwa muhimu sana katika shughuli za kazi, burudani, na mawasiliano. Hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kutafuta njia za kuboresha matumizi ya laptop yako. Mojawapo ya suluhisho ni matumizi ya...
  5. Laptop HP 250 12th gen for sale

    LAPTOP HP 250 12th GEN-FOR SALE Details with Specifications and pictures are attached- In addition:500 GB Reason of selling it:- Double Gifts and is almost new Price: Tsh:700,000 Net Include:- (Laptop+ LTE 4G modem+ Power Cables) Exclude:- It's bag was taken by Son to carry his laptop),so...
  6. LAPTOP HP 250 12th GEN- FOR SALE

    Details with Specifications and pictures are attached- In addition:500 GB Reason of selling it:- Double Gifts and is almost new Price: Tsh:700,000 Net Include:- (Laptop+Power Supplies+ Bonus LTE 4G modem Exclude:- It's bag was taken by Son to carry his laptop),so without bag Serious...
  7. Je hii mouse itaweza kufanya kazi kwenye laptop yangu

    Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
  8. Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi

    Naombeni bei ya Laptop yenye specifications hizi Mwenyenayo
  9. K

    Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  10. Tatizo la USB Ports za Laptop

    Habari wadau! Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa. Sasa nikiwasha inaniambia press F1 to continue na hiyo key inapatikana kwenye keyboard nayo haiditect. Msaada wakuu
  11. R

    Computer4Sale Nauza Dell Laptop Latitude 5300, core i5, Ram 8GB SSD 500GB. 8 generation

    SPECIFICATION Model : Dell Latitude 5300 Processor: Core i5 Ram : 8 GB SSD : 500 GB Size : Inch 14 Generation : 8 Window : 11 Screen: Normal and Touch screen Bei : 500,000/= Computer ni used ila ipo kwenye ubora mzuri sana kama mpya. Inakaa na charge zaidi ya masaa kumi ukitumia mfululizo. Ina...
  12. Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Habari wana-JF, Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri. Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
  13. Driver update for my Laptop

    Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea kwenye huduma,kweli software iliweza ku scan my laptop na kudetect a various driver is outdated...
  14. I

    Laptop HP ELITEBOOK 640 G1

    HP ELITEBOOK 640 G1 14.00-inch Display resolution 1366x768 pixels Core i5 RAM 8GB Hdd 500GB OS Window 10pro Intel Integrated HD Graphics 620 PRICE 600,000/= We Offer 💥 Warranty 🔮 Extra Programs 🧧 Tunapatikana Kariakoo Dar es Salaam Tupigie 0744 979385
  15. Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  16. Nahitaji laptop kwa 250,000/=

    Nahitaji laptop hp kwa bei ya 250,000/= Specs:- Core i3 Ram,8gb Hdd 300gb Battery 3hrs Note: isiwe imechoka Cont:- 0758 597106
  17. INAUZWA Laptop dell inauzwa ram 8 GB, rom 1 TB

    LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1 TB SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro... Bei LAKI 9. CHARGE HOURS 6 HRS Karibuni 0672701329
  18. Computer4Sale Laptop aina ya Dell ina ram 8gb rom 1tb inauzwa

    LAPTOP : DELL INAUZWA IPO. MOSHI MJINI MAENEO YA KCMC CHUONI , MAPIPA ROAD.....INA RAM 8GB , ROM 1TB. ..... SYSTEM TYPE NI 64 bit , ..INATUMIA WINDOW 10 Pro... BEI LAKI 9 Karibuni 0672701329
  19. Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  20. Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote. Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika. Nipo Dar Es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…