Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito...