Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya kuanzia Mei 05 - Juni 03, maambukizi mapya 161 yamerekodiwa ikiwa ni ongezeko la 137% ikilinganishwa na kipindi cha Aprili 02 - Mei 04, 2022
Dar imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1)...