maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  2. D

    Kitu gani huwakosesha kujiamini watu maarufu?

    Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
  3. Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  4. Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
  5. Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wakuu... Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo?? Umeshapata chai???? Sasa sikiliza nikuambie, Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni. Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na: 1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa 2. Misemo ya...
  6. Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  7. Top list ya watu maarufu duniani wanao julikana kwa jina moja tu (mononymous people)

    A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name. A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names) 1. Jesus 2. Muhammad 3. Ibrahim (or Abraham?)...
  8. R

    USHAURI: TRA, Rudisha na kusanya Kodi ilojulikana maarufu kama Kodi ya matching guy Kwa mfumo Bora zaidi

    Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi ya lak 8, akalipa umeme, service levy, mshahara wa wafanyakazi, maji, taka, akabaki na pesa kulipa...
  9. M

    Kutoka kwa muigizaji maarufu John Sins

    KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema. " Kuigiza filamu za ngono ni kazi ngumu sana tofauti na watu wanavyozani kuwa ni nyepesi, napokea tons za email kila siku kwa watu...
  10. Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

    Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizaji, amesilimu. Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu. Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa...
  11. List Ya Misimamo Ya Watu Maarufu Juu Ya Dp World

    Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World. Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari. 1. Dr Salaa 2. Fr. Kitima 3. Mwanasheria wa Mbeya 4. Askofu Mwamakula 5. Prime Minister 6. Lukuvi 7. Warioba 8.Siro 9. CiC mstaafu 10. Shivji Wafuatao ni...
  12. Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
  13. Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  14. Wanafalsafa maarufu zaidi wa Uchina(China)

    Confucius (551-479 KK) Confucius ni mwanafalsafa maarufu zaidi wa kichina. Confucius (551 - 479 KK) alikuwa mwanafalsafa na mwanasiasa wa kichina katika kipindi cha masika na kipindi cha mapukutiko ambaye kwa kawaida anachukuliwa kama mfano wa hekima ya kichina. Mafundisho na falsafa ya...
  15. Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

    Mkutano mkubwa wa Injili uliokuwa ukiendelea katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha na Mhubiri maarufu toka Kenya Nabii Ezekiel Odero umepigwa marufuku na serikali mchana huu. Wakiwa katikati ya mahubiri ghafla ilitangazwa kuwa ni marufuku kuendelea na maombi hayo jambo...
  16. Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

    WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake. Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu...
  17. Uzi wa kubuni jina replica ya jina maarufu.

    Mfano Mpwayungu Village // mpwanguyu vigalle. Nyani Ngabu // Nanyi bangu. GENTAMYCINE // gentacymine. Kichaa Msafi // chaki safi. mzabzab // mnzabinzabi
  18. Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  19. Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

    Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito. NAWASALIMU KWA JINA LA...
  20. Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…