Machinga sio kikundi cha watu ambao ukishawasikiliza wao na kuwatekelezea kilio chao basi umemaliza, hapana. Watu wanaweza kudhani kuwa machinga ni vijana tu, hapana, ndani ya machinga kuna watoto, vijana, watu wazima na wazee. Mbaya zaidi wadau wa machinga wamo watu wenye wenye ajira zao na...