Nakumbuka humu JF hakukukalika, tuliambiwa huyu ndiye pasua kichwa, ndiye mwenye misifa yote ya kulipua mabomu hata uraiani, maana ameua watu wa Syria sana kule, akategemewa kuwaua raia wa Ukraine, na kweli kaanzisha kampeni kali ya kupelekea mizinga uraiani, akasifiwa sana humu......
Hatimaye...