madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Madiwani wapendekeza jimbo la Dodoma mjini ligawanywe

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
  2. Pre GE2025 Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

    Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi. Wamepitisha pendekezo hilo jana, Machi 11, 2025 kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, kwa ajili ya...
  3. T

    Pre GE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  4. KERO Tabora yafurika harufu ya majitaka – Uongozi upo wapi?

    Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi... Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora mara kwa mara kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri wa bus, mnaweza kuthibitisha hili, kwamba...
  5. Pre GE2025 CCM Iringa yakanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wilaya ya Iringa juu ya kupewa kipaumbele wabunge na madiwani walipo madarakani kuelekea uchaguzi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
  6. Pre GE2025 Mwenyekiti halmashauri Iringa anasema diwani au mbunge aliyeko madarakani, maamuzi ya CCM, ni jina lazima lirudi kugombea tena

    "Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  7. Pre GE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  8. Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  9. Pre GE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini. Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo? Soma zaidi: Pre GE2025...
  10. S

    Mrisho Mashaka Gambo atachaguliwa na wanachama wa CCM kwenye kura za maoni na sio madiwani wapiga dili

    Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake. Eti amemuomba...
  11. T

    Pre GE2025 Mbunge Philip Mulugo adai ukiona mbunge analalamika basi ujue huyo haudhurii vikao vya madiwani

    Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  12. Pre GE2025 Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita: Tumetekeleza Ilani ya CCM kwa Asilimia 95

    Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika Halmashsuri hiyo . Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  13. Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  14. Madiwani Chalinze wailalamikia DAWASA kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
  15. Utafiti wa Uchaguzi wa Madiwani: Changamoto na Sababu za Kutokuchaguliwa kwa Madiwani wa CCM October 2025

    Katika utafiti uliofanyika nchini, kupitia kila kata, imebainika kuwa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa chini ya utawala wa Rais Magufuli, meaka 2020, kwa asilimia 90 hawataweza kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali...
  16. Pre GE2025 Madiwani Kigoma ujiji walalama miradi ya maendeleo kukwama hivyo kuonekana hawajatimiza wajibu wao, waishutumu TAMISEMI wakitaka uchunguzi ufanyike

    Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa kutekeleza mradi kwa wakati na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara waliokosa maeneo ya kufanyia...
  17. Pre GE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

    Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
  18. Pre GE2025 Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji lampongeza Rais Samia kuteuliwa na mkutano mkuu CCM, kuwa Mgombea Urais

    Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza kuipandisha hadhi Halmashauri hiyo kuwa Manispaa pamoja kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu kuwa mgombea wa...
  19. L

    Yaliyofanyika leo si ruksa kufanyika kwa nafasi za Wabunge na Madiwani?

    Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
  20. Pre GE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

    Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…