Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida ya saa 6 hivi hakukuwa na zoezi la upigaji kura kabisa mpaka samia alikimbia nchi.
Kilichobaki mitaani ni maandamano makubwa sana ya wananchi. Sasa hii asilimia 98% imetokea wapi ? katika mazingira kama hayo ya siku ya uchaguzi kuna watu wataenda jera hivi karibuni.