Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada...