Siyo kuwa Mtanzania anapenda kununua gari lililotumika la hasha. Kinachopelekea Mtanzania kununua gari lililotumika na hali ya kipato chake. Kwa Mtanzania kama mimi siwezi kununua gari jipya la toleo la toyota kwa gharama ya Tshs.120,000,000 au Toyota Landcruiser hard top kwa Tshs. 160,000,000...