magari

  1. Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

    EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
  2. Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  3. Watu aina ya Doto Magari ni wa kuwaepuka kama ukoma!

    Kwani watu ombaomba na wanafki ila huyu doto magari amezidi. Huyu jamaa akishajua upo vizuri kipesa basi tegemea kila utakapokutana naye lazima akuombee hela usipompa tu kosa, lazima akakutangaze vibaya kwa watu. Miongoni mwa watu wasiomkubali huyu jamaa ni Marioo, Dj Ally Bi, Diamond Platnumz...
  4. Kumbe magari yenye Namba C yalihamia Kanda ya Ziwa

    Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo. Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime...
  5. Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  6. Kwa wanaojua magari haya

    Habari za usiku huu? Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara. Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan. Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti...
  7. Mrisho Mpoto ageuka mbogo, amdai Waziri wa Afya magari ya kubebea wagonjwa bila visingizio vya Covid ama vita vya Ukraine

    Msanii Mrisho Mpoto amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kutumia ukali kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mbele ya Rais Samia na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kupokea Ripoti ya Utafiti wa Afya ya uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya kubebea wagonjwa...
  8. Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  9. Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
  10. D

    Waziri Biteko iwajibishe TPDC kwa makusudi wanayoifanya kwa watumiaji wa Gesi kwenye magari

    Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4. Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
  11. S

    Uzi wa maalum magari mazuri yasiyopewa promo hapa Tanzania

    Kumekuwa na trends ya magari ya aina fulani kutamba katika kipindi fulani cha muda, ambalo kimsingi si jambo baya. Lakini hii inaweza kusababisha watu wengine kununua gari kwa kufuata mkumbo tu. Hivyo lengo la uzi huu ni kuorodhesha aina nyingine za magari mazuri ya yanayofaa katika mazingira ya...
  12. Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  13. Vijana acheni kutupangia nyimbo za kusikiliza kwenye magari yetu

    Ukihitaji salamu nenda mbeya kwao Lucas mwashambwa ukamsaidie kulima Mtama mkimaliza atakusalimia,kwangu utaambulia chuya Ukawalishe bata! Sijajua siku hizi vijana wana matatizo gani! Kwa mujibu wa Cheti changu cha Kuzaliwa(Birth Certificate) ni kwamba,nimezaliwa Tarehe 10/11/1989,Hivyo hivi...
  14. Kigamboni hakuna Vituo vya Daladala vyenye kivuli, watusogezee na stendi ya magari ya mikoani pia

    Nilihamia Kigamboni miaka ya hivi karibuni, moja ya kitu ambacho kilikuwa kinanipa uwoga kuhamia pande hizi kwanza ni kuvuka maji na pili niliona kama kumekaa kushoto sana. Nashukuru Mungu uwoga wangu wa maji umepungua labda yawezekana kwa kuwa navuka sana baada ya kuhamia huku. Hilo la pili...
  15. D

    Kufunga minyororo magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho mijini ni utaratibu wa ovyo kabisa

    Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba: Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo. Huu ni utaratibu wa hovyo sana 1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
  16. KERO Foleni ya kuweka gesi Dar kwenye magari ni tatizo

    Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache. Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa madereva hasa wale ndugu zangu wa Taksi Mtandao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kwenye foleni ya gesi...
  17. Taa za kuongozea magari Tanzania [Traffic lights]

    Naomba hapa nizungumze kiujumla jumla. Hizi taa za kuongozea magari Tanzania, hususan Dar es Salaam, ni za kazi gani hasa? Kuna mambo nadhani huwa tunayalazimisha ambayo kiuhalisia hayapo kwenye DNA yetu. Machache kati ya hayo ni ustaarabu na ufuataji wa sheria tunazojiwekea sisi wenyewe...
  18. Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  19. Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

    Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation. Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje? Sera za kikodi ziangaliwe upya, vipaji sio Football ⚽ na riadha na ngumi peke yake, vipaji ni uwanda mpana...
  20. Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…