magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia ikukupendeza tuondolee DC Magoti hapa Kisarawe, amefeli kila kitu

    Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa . Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na...
  2. R

    Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  3. Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  4. Pre GE2025 PICHA: Vijana wa UVCCM walivyopiga magoti na mabango ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM

    Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi. Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
  5. Bila kumpigia magoti na kumtaka radhi huyu mwanamama, CHADEMA haitaweza kuwa sawa tena.

    Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu kuumizwa na baadhi kupoteza maisha. Nakumbuka hiyo siku mimi nilikuwa natoka mizunguko yangu kufika posta...
  6. G

    Hamas yatoa onyo kwa Wapalestina wanaoikosoa kwa kuwapa adhabu ya risasi za magoti wakosoaji

    Baadhi ya Wapalestina wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na hamas ikiwemo wao kukimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha wapalestina wawe ngao pale Israel inapojibu mashambulizi, Pia chakula cha misaada kimekuwa kikiuzwa badala ya wapalestina kupewa bure Hamas wamechapisha video ya onyo sambamba...
  7. Wanafamilia wanaopiga magoti kusali pamoja wanauwezekano mdogo sana wa kugombana hovyo

    Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo. Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife). Unapoendelea kuchochea onbwe...
  8. Garatwa: Emmanuel Ntobi, Henry Kileo, Boni Yai, Martin Maranja, Yericko Nyerere ni Vijana wanaomuunga mkono Mbowe kwa sababu ya Bia na Konyagi tu.

    Na; Garatwa Francis Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
  9. LGE2024 Mbunge Ritta Kabati apiga magoti jukwaani akimwaga sera kwenye Kampeni kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Iringa

    Wakuu Kumeanza kuchangamka huko kwenye Kampeni
  10. Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

    Siasa za Tanzania. DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza. Accountability imefikia huku
  11. N

    RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  12. Bob Maneke ampigia magoti Mbosso afanye show ya live kabla mwaka haujaisha

    Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso. Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso. Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana...
  13. LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na...
  14. O

    Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

    Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
  15. Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  16. Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

    MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama. Sophie anatarajia kutembelea kituo...
  17. M

    Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  18. TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  19. Tetesi: DC Magoti kuhamishiwa Ngorongoro

    DC namba 1 duniani anatajwa kuwa atahamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
  20. Pre GE2025 Kisarawe kumekucha, DC. Magoti atangaza yeye sio DC wa "mpeche mpeche", watakaoleta mchezo atawang'oa visogo

    Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto, bali ni mtu mzima, na Rais kamteua. N.B: nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…