Baada ya hotuba ya Waziri Mhe. Kabudi, mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Mji wa Serikali, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, mwandishi wa habari Awadhi Omary kutoka KANIKI TV ameibua hoja kuhusu jina la Hayati Dkt. John Pombe...