Kushuka kwa bei ya mahindi nchini ni suala ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka ili kuepuka athari kubwa kwa wakulima na jamii kwa ujumla. Wakulima wanapata hasara kubwa kutokana na kupungua kwa bei ya mahindi, huku wafanyabiashara wakipata faida kubwa. Kwa kuwa mimi ni mkulima na mjasirimali...