MAKTABA YA CCM DODOMA
Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi.
Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea.
Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...