malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  2. R

    Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  3. Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

    Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu. Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa...
  4. Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

    "Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
  5. Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

    Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani. Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm. Kwa hizi tabia Romani...
  6. P

    Pre GE2025 Askofu Malasusa: Vijana wa siku hizi hawataki Kuongozwa wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

    Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
  7. P

    Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  8. P

    Pre GE2025 Askofu Malasusa: Yeyote anayetamani kuleta machafuko katika nchi tumsihi na kumuombea ashindwe katika Jina la Yesu

    Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
  9. Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar...
  10. Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  11. Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  12. Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

    Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
  13. Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza. Hii itaakuwa ni mara...
  14. R

    Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

    Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI? Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa...
  15. D

    Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT...
  16. J

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  17. R

    Baada ya Shekhe Mkuu wa Dar es Salaam kutenguliwa kituo kinachofuata ni Dkt. Malasusa

    Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao. Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo...
  18. T

    Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

    Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini...
  19. Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  20. Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

    Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo. Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa. Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana. The...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…