mambo 10

Mambo is a genre of Cuban dance music pioneered by the charanga Arcaño y sus Maravillas in the late 1930s and later popularized in the big band style by Pérez Prado. It originated as a syncopated form of the danzón, known as danzón-mambo, with a final, improvised section, which incorporated the guajeos typical of son cubano (also known as montunos). These guajeos became the essence of the genre when it was played by big bands, which did not perform the traditional sections of the danzón and instead leaned towards swing and jazz. By the late 1940s and early 1950s, mambo had become a "dance craze" in the United States as its associated dance took over the East Coast thanks to Pérez Prado, Tito Puente, Tito Rodríguez and others. In the mid-1950s, a slower ballroom style, also derived from the danzón, cha-cha-cha, replaced mambo as the most popular dance genre in North America. Nonetheless, mambo continued to enjoy some degree of popularity into the 1960s and new derivative styles appeared, such as dengue; by the 1970s it had been largely incorporated into salsa.

View More On Wikipedia.org
  1. Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

    1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada. 2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako. 3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu. 4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo 5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu...
  2. Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

    Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10 1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza. Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers. 2.Yanga hawakucheza kama team, Kila mchezaji alitaka kuwa man of the match kitu ambacho kiliwaghalimu Yanga,Makosa ya Mzize kupiga...
  3. Zingatia mambo 10 haya Kwa mkeo

    1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe 7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie, 8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe 9 Mkeo sio...
  4. O

    Mambo 10 kuhusu mkeo yazingatie

    MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE.. 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako. 6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe. 7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa...
  5. Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  6. L

    Mambo 10 Niliyoyaona Simba ikiidadavua Namungo ya GSM

    1. Mchezo ulikuwa mzuri isipokuwa wachezaji wetu wana fatigue na huu mkakati tuliowekewa wa kucheza baada ya siku 2 nna uhakika tunaenda kudondosha point hasa kule mkoani vs Mashujaa lakn mungu atakuwa upande wetu 2. Kipa wetu Camara amekamilika sana nadhan kiongozi mmoja alipomuita 3 times...
  7. L

    Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

    1. Timu yetu ya Simba imecheza vizuri sana kilichotugharimu ni sub, kiukwel hatuna wachezaji wazuri wa sub ndio maana kipindi cha pili sikushangaa kuona Yanga wakipata bao la pili 2. Yussuf Kagoma ni mchezaji mzuri sana lakini Simba isimtegemee sana kwa sababu pancha nyingi sana 3. Kocha wetu...
  8. L

    Mambo 10 Niliyoyaona leo Dodoma Jiji Vs Simba S.C Club

    1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma. 2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma Jiji kama sio uzoefu mambo yangekuwa magumu leo 3.Fahdu akubali kuwa mechi za ugenini ni za akina...
  9. Mambo 10 ya kisaikolojia kuhusu mvuto katika mapenzi (الحبة)

    1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana. Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana, 2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya kihisia kwenye ubongo linaponong'onwa kwenye sikio la kushoto. Wanawake huwa wanavutiwa na mwanamume...
  10. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  11. M

    Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
  12. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, Itakuwa Huru Kweli au ni Jina tu? Ukiomba Mambo 10 Ukapewa 1, Shukuru kwa Hilo 1. Asante kwa INEC!

    Wanabodi, Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi. https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr Nilipendekeza 1. Sheria yetu ya uchaguzi tunayoitunga, ifuate katiba ya JMT ibara ya 5 na Ibara ya 21. 2. Ibara ya 5 ni...
  13. Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

    Hebu jisomee mwenyewe hapa
  14. Mambo 10 ambayo Simba SC inapaswa Kujifunza Kutoka Yanga SC

    Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa kila timu ina changamoto zake na hakuna njia moja ya kufikia mafanikio. Hata hivyo, hapa kuna mambo kumi ambayo Simba SC wanaweza kuyafanya ili kufikia kiwango na ubora wa Yanga SC hivi sasa:- 1. Kuwa na uongozi thabiti na waaminifu ambao unaweza kuendesha timu...
  15. Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  16. N

    Mambo 10 yaliyofanywa na Rais Samia yanayowagusa Walimu na Jamii kwa ujumla

    Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo; 1.Ujenzi wa Shule mpya za...
  17. N

    Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi. Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na; 1. Ujenzi wa Shule mpya za...
  18. J

    SoC02 Mambo 10 muhimu ya kuyajua ili uweze kuajirika ama kujiajiri mapema

    ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
  19. Mambo 10 ambayo Magavana wa Kenya Hawaruhusiwi kufanya

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
  20. Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

    Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer. JASIRI Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…