mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania CNN yapigwa marufuku. Maria na Mange watakuja juu?

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa CNN, MSNBC na Politico hazitaruhusiwa kuingia White House, katika kile kinachoonekana kuwa hatua mpya ya mzozo wake wa muda mrefu na vyombo vya habari. Mange na maria watakuja juu kupinga?
  2. JamiiForums Tanzania Dear Mange na wanaharakati wengine wa mtandaoni

    Kwanza kabisa, heshima kwa kazi mnayofanya. Kiukweli mmeziba gap kubwa sana kwenye mapambano dhidi ya dhulma, ufisadi, uonevu, uchawa, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa. Zamani sehemu kubwa ya kazi hii ilikuwa inafanywa na wanasiasa. Wakati nafasi ya kufanya siasa ilipobanwa, wanaharakati wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Melo aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu. Wengine si wa kuamini. Roma katofautiana kidogo mawazo na Mange, kamtisha kum-report wam-deport

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  5. JamiiForums Tanzania Lema, Mange, Sativa na Maria: Hii ni vita ya nani ndani ya Chadema?

    Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo cha mvutano mkubwa mitandaoni. Badala ya mjadala kubaki kwenye ukweli wa salamu hizo na maana yake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Inasemekana mashahidi aliochagua lissu hakuna mbowe, sugu, lema na yai. Jana mange anatuambia hawa wannne tayari washawekwa kwenye kundi

    Nini kinaendelea huko HQ. ngara23 Mshana Jr Kipenzi Changu
  8. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: "Mmetusaliti!" Awalipukia wanasiasa Baada ya Kukusanya "Tone Tone"

    Mwanaharakati wa mitandaoni, Mange Kimambi, amewajia juu wanasiasa na kueleza kusikitishwa kwake na hatua yao ya kubadili mwelekeo wa kisiasa baada ya kukusanya michango ya fedha kutoka kwa wananchi. Kupitia ujumbe aliosambaza kwenye mitandao ya kijamii, Kimambi amedai kuwa wanasiasa hao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu). Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi. Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi. Moderator...
  10. S

    JamiiForums Tanzania U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

    Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.” Kadhalika...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  12. JamiiForums Tanzania Je Serikali ya Ccm na Samia ilikua imejiandaa kweli juu ya hili swala la shule za Amali?

    Habar, Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani, Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aiburuza kampuni ya meta mahakani nchini Marekani kwa kufuta akaunti zake baada ya shinikizo la serikali

    Linaripoti gazeti la New york post(Marekani): Mshawishi maarufu wa mitandao ya kijamii anayeishi Santa Monica nchini Marekani na mwenye zaidi ya wafuasi milioni 10, anadai katika kesi mpya kwamba akaunti zake za mitandao ya kijamii zilifutwa baada ya kampuni ya Meta kudaiwa kukubali shinikizo...
  14. JamiiForums Tanzania Mange ndani ya NY Post!

    Safi sana Mange! You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times. And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta. Hii publicity si ndogo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (Case No. 26 CIV 06555) - undani wake

    Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

    Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
  18. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: kuna mpango wa kugawa CHADEMA utakaohusisha viongozi wakubwa wa CHADEMA, unapangwa na kuratibiwa na wanaCCM. Chama kipya?

    Mange kitambi amesema kuna mpango wa kugawa Chadema. Mpango huo utahusisha Freeman Mbowe na Viongozi wengine wakubwa wa Chadema. Pesa za opesheni hiyo itapita kwenye Bank M ambayo itatumika kupitisha fedha hizo. Bank hiyo itatangaza kufilisika kisha watainunua. Kupambana na ccm ni kazi ngumu...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

    Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…