Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.
Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?