CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mimi ni chawa wa haki na si zaidi ya hapo.Sawa wewe ambaye ni chawa wa vyama ndio una akili
Mimi ni chawa wa haki na si zaidi ya hapo.Sawa wewe ambaye ni chawa wa vyama ndio una akili
Haki ipi unayogombainia ebu tuache kidogo 🤣Mimi ni chawa wa haki na si zaidi ya hapo.
Kwa kuwa mawazo yangu sio kama yako kwa maana nyingine ningeandika kitu kinachokufurahisha usingeniita chawaHuna hoja, wewe ni chawa tu kama machawa wengine. Bure kabisa.
Uwezo wako mdogo sana kung'amua mambo. Anyway hicho unachokiona na kukisema ndo practical ya nilichosoma kinatharia. Kipo kwenye vitendo.Wewe umesoma theories na sio practically so unaweza ukawa unaishi na fikra zilizokufa so unataka kuniambia hata haya mabishano ya Simba na Yanga mitandaoni yanafadhiliwa na Serikali?
Kwahiyo unatakumaanisha ya kwamba hata majadiliano ya Mashabiki wa Simba na Yanga yamemobiliziwa na Serikali??Mange Kimambi yuko sahihi kabisa kwani serikali hii hupenda kutumia kile kinachoitwa the dead cat strategy ili kupotezea watu wasiwaze tukio lililo mbele yao.
It's very possible.Kwahiyo unatakumaanisha ya kwamba hata majadiliano ya Mashabiki wa Simba na Yanga yamemobiliziwa na Serikali??
Kama tunakubali akili zetu tuziweke kwenye vyama vya siasa kwahiyo sishangai mtazamo wakoIt's very possible.