Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

Siyo kwamba kila tukio la ajabu linaanzishwa na kupewa priorities kuzima mambo muhimu ya kisiasa.

Jambo la ajabu likionekana kuchukua popularity watu wa system wanayaongezea miles ili kuwasahaurisha watu mambo ya kujadili masuala ya kisiasa ambayo ni mzigo kwao.

Kingine raia wanapata hofu/ hawapo free kujadili mambo ya kisiasa wakiogopwa kukamatwa,kubaniwa,n.k lakini kwa mambo mengine hata la ajabu litajadiliwa mpaka lijipotelee lenyewe na media kubwa, watu maarufu,n.k

Kama system inaweza kuingia gharama kulipa watu wajifanye wakatoliki, kulipa watu wamchafue Heche,n.k kwanini ishindwe kuyapa mileage mambo ya ajabu ambayo gharama ni ndogo?

Naamini kuna kitengo huru kwa ajili ya hiyo kazi chenye mamlaka ya kujitegemea, huwa wanabeti, likifanikiwa okay, lisipokuwa na inpacts, ni ajali kazini hakuna anayeingilia.
 
Tuasiingiliane uhuru wetu. Nyie mna msiba endeleeni kuomboleza. Wengine nao waachwe wajirushe kwenye burudani zao. Na wengine burudani na michezo ndio ajira yao, sasa je waache kujitaftie mkate wao kisa nyie mna msiba wenu huko?
Huu ni msiba wa wote nzengo nzima hata wewe upo!
 
Ni mbinu inayojulikana kama headline-grabbing initiatives, hutumika sana na wanasiasa duniani kote. kuhusu kuwa kweli au ni uzushi wenye nchi ndo wanajua.
Kwahiyo mashabiki wakizozana wa Yanga na Simba kwenye mitandao ni wamelipwa na Serikali???
 
Huu ni msiba wa wote nzengo nzima hata wewe upo!
Mama yangu mwenyewe alifariki baada ya mwezi tu maisha yaliendelea. Sasa huo msiba wa mwaka mzima eti tusiende kushangilia mpira, tusiende kujirusha miaka 30 ya Bongo flavour, tusifurahie maisha yaliyobaki, hapana, huo msiba ni wenu huko CDM. Sisi wengine tulishamaliza msiba
 
Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.

Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
Huna akili wewe taahira zwazwa pluplus ,kuna neno hili "Bread and circus " nenda kagoogle na usome ujue kinachofanywa na tawala dhalimu zinazotawala bila ridhaa ya wananchi Kama humo shithole Tanzania.Shenz .Elimu huna na akili huna .Stupid
 
CHADEMA isithubutu kupambana na hizo timu za Kkoo. Hizo zina wafuasi wenye mapenzi nazo toka moyoni ambao pia wengi wapo CHADEMA. Hakuna shabiki wa Yanga au Simba anaweza kusimama na CHADEMA linapokuja suala la timu yake.
 
Lioneni hili zombie, hivi ni hawana akili? Au? Michezo ni maisha ya watu nyie wapuuzi acheni kulazimisha siasa. Chadema wangeweza wangesimamisha shughuli zote tuwajadili wao, chama cha hovyo kabisa tunahitaji Rais km Museveni wa Uganda, si mnaona Uganda imetulia baada ya yule mpotoshaji na msumbufu wa wananchi kuikimbia nchi, hata wakati wa Magu nchi ilitulia hao wapuuzi walikimbia nchi huyu mwanamke mzanzibari ameturudishia hizi laana! Nchi gani kila wakati ni wa siasa? Wananchi hawatulii kufanya shughuli zao ni kuijadili chadema, ni mikutano, maandamano, nchi gani hiyo!
Udhalimu ni mtamu Kama asali ukiwa upande wa madhalimu Ila ukiwa upande wa haki na hauko nao ni mateso na majuto ,najua unalijua hili ila mpumbavu wewe unajitoa ufahamu ,kuna muda unakuja utafuta hizi comments zako za kishenz
 
Mange Kimambi yupo sahihi, hata kukonda kwa Jux ni suala la kisiasa
 
Siyo kwamba kila tukio la ajabu linaanzishwa na kupewa priorities kuzima mambo muhimu ya kisiasa.

Jambo la ajabu likionekana kuchukua popularity watu wa system wanayaongezea miles ili kuwasahaurisha watu mambo ya kujadili masuala ya kisiasa ambayo ni mzigo kwao.

Kingine raia wanapata hofu/ hawapo free kujadili mambo ya kisiasa wakiogopwa kukamatwa,kubaniwa,n.k lakini kwa mambo mengine hata la ajabu litajadiliwa mpaka lijipotelee lenyewe na media kubwa, watu maarufu,n.k

Kama system inaweza kuingia gharama kulipa watu wajifanye wakatoliki, kulipa watu wamchafue Heche,n.k kwanini ishindwe kuyapa mileage mambo ya ajabu ambayo gharama ni ndogo?

Naamini kuna kitengo huru kwa ajili ya hiyo kazi chenye mamlaka ya kujitegemea, huwa wanabeti, likifanikiwa okay, lisipokuwa na inpacts, ni ajali kazini hakuna anayeingilia.
Tukio la Diamond na Zuchu la kumzaa mtoto wao tukaambiwa na Mange Kimambi kuwa ni la kuzima mjadala wa siasa hivi kwa akili yako timamu bila kushikiwa na mtu wewe unaamini hivyo? Hawakuishia hapo mpaka suala la siku za kusherekea Simba na Yanga wakaongeza kitu hicho hicho
 
Mama yangu mwenyewe alifariki baada ya mwezi tu maisha yaliendelea. Sasa huo msiba wa mwaka mzima eti tusiende kushangilia mpira, tusiende kujirusha miaka 30 ya Bongo flavour, tusifurahie maisha yaliyobaki, hapana, huo msiba ni wenu huko CDM. Sisi wengine tulishamaliza msiba
Kwa kweli mambo ya namna hii zinakera mno yaani Vyama vya siasa vinatuaminisha Siasa pekee ndio inapaswa kutrending
 
Huna akili wewe taahira zwazwa pluplus ,kuna neno hili "Bread and circus " nenda kagoogle na usome ujue kinachofanywa na tawala dhalimu zinazotawala bila ridhaa ya wananchi Kama humo shithole Tanzania.Shenz .Elimu huna na akili huna .Stupid
Kwa hiyo unataka kutuaminisha mabishano ya mashabiki wa Yanga na Simba mitandaoni yanafadhiliwa na Serikali???
 
Siasa ndiyo inaamua ukanunue sukari shilling ngapi dukani, huwezi kuiweka pembeni siasa, siasa ndiyo inaendesha kila kitu
 
Tukio la Diamond na Zuchu la kumzaa mtoto wao tukaambiwa na Mange Kimambi kuwa ni la kuzima mjadala wa siasa hivi kwa akili yako timamu bila kushikiwa na mtu wewe unaamini hivyo? Hawakuishia hapo mpaka suala la siku za kusherekea Simba na Yanga wakaongeza kitu hicho hicho
Serikali huwa hairatibu kila kitu, lakini inaweza chukua advantages ya hayo matukio ambayo siyo yote.

Naamini inafurahia sana matukio yanayochukua attentions za watu wengi.

Wewe unadhani kama wakipita mtandaoni waone watu wako bize na kujadili katiba mpya, chuki dhidi ya serikali unadhani ahueni yao itapatikanaje zaidi ya kutafuta attention nyingine?

Lakini nipo nawewe,mimi siwezi acha shabikia Arsenal yangu kisa natolewa kwenye reli. Wale jamaa wa Kariakoo mapenzi yaliishia 29 October kwa watu wengi,sema watu hawana vitu vingine vya kuwapa furaha/ burudani.
 
Back
Top Bottom