Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

Siku 5 baada ya ripoti ya jaji chande,likatokea liile la tunduma watu kushikwa bega na kupotea kwa nyeti.
Vipi lile tukio bado linaendelea?
Siasa ina Uwanja wake na mambo mengine yana Uwanja wake usilazimishe kila wakati tuzungumzie siasa hiyo sio maana halisi ya Demokrasia
 
Simba na Yanga (Ukipita vijiweni na sokoni sasa hivi watu wanabishana).Juzi tulikua na Isaya aliyeoa binti Ruto (Ikawa habari za mjini), kurasa zote etc utafikiri kuna jipya...
Sasa wewe unataka muda wote tuzungumze siasa tu
 
Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili kuzima suala la Katiba mpya.

Hivi kweli watu wasifanye Mambo yao kisa siasa? Kwamba mambo mengine yasiendee ya watu kujitafutia ugali na wengine kufurahia burudani na vitu wanavyopenda eti tu itaonekana wanatumika kuzima mijadala ya Taifa??? Mbona Mambo ya kitaifa yanapochukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya jamii wengine wanaofanya shughuli zao za kisanaa hawalalamiki kuwa siasa inazima mambo yao?? Hivi akili zetu huwa tunapeleka wapi?
msemo ni upi au m ndo mvivu wa kusoma?
 
Aiseee ngoja kwanza kwani nchi nyingine watu wakiwa wanadili na mambo wasiyopendezwa nayo

Shughuli nyingine zote zisizohusiana na siasa hua zina simama?
 
Chadema ni wapumbavu wenye husda za ******* wanatakaga watrend wao, wana siasa za kulazimisha nyumbu hao. Michezo ni kazi za watu, ni biashara ni maisha ya watu km kwao siasa ilivyo maisha yao, waache siasa za majitaka. Katiba ni takwa lao siyo la kila mtanzania wao wanadhani hiyo katiba mpya itawaingiza madarakani, na wasipofanikiwa kupata madaraka hao wajinga hawatachoka kulalamika kuwa ni mbovu, hakuna siku chadema wakaridhika dawa yao ni kuwapuuza ndiyo Maana Magu aliwaambia katiba siyo ajenda yake na walikaa kimya na wengine kutoroka nchi, wanamchezea huyo mwanamke wa kizanzibari!
 
Kwa nchi nyingine kila kitu kinaendelea kama kawaida ila huku kwetu inaonekana Serikali imelipa watu kwa mujibu wa Vyama vya siasa
 
Demokrasia inabidi ifanywe kwa vitendo sio kwa kusema
 
Kwa nchi nyingine kila kitu kinaendelea kama kawaida ila huku kwetu inaonekana Serikali imelipa watu kwa mujibu wa Vyama vya siasa
Hua nikiangalia mambo kama haya nashangazwa sana hayo mambo yanayo trend ni kina nani wanayapa airtime?

All in all maisha lazima yaendelee wengine hizo ndiyo kazi zao wataishije sasa ?
 
Priorities ndugu yangu. Wakati nyumba yako inaungua unaenda kucheza mdundkiko?

Watu werevu huzingatia sana priorities za Wakati husika.

Kwa maelfu ya watu waliokufa, kama taifa tuna msiba. Mambo ya Yanga na Simba zisiwe priorities zetu kwasasa.
Lioneni hili zombie, hivi ni hawana akili? Au? Michezo ni maisha ya watu nyie wapuuzi acheni kulazimisha siasa. Chadema wangeweza wangesimamisha shughuli zote tuwajadili wao, chama cha hovyo kabisa tunahitaji Rais km Museveni wa Uganda, si mnaona Uganda imetulia baada ya yule mpotoshaji na msumbufu wa wananchi kuikimbia nchi, hata wakati wa Magu nchi ilitulia hao wapuuzi walikimbia nchi huyu mwanamke mzanzibari ameturudishia hizi laana! Nchi gani kila wakati ni wa siasa? Wananchi hawatulii kufanya shughuli zao ni kuijadili chadema, ni mikutano, maandamano, nchi gani hiyo!
 
Hua nikiangalia mambo kama haya nashangazwa sana hayo mambo yanayo trend ni kina nani wanayapa airtime?

All in all maisha lazima yaendelee wengine hizo ndiyo kazi zao wataishije sasa ?
Tuna wanasiasa wajinga sana ambao wameshindwa kutimiza majukumu yao badala yake wapo busy kueneza propaganda za kijinga
 
Huu uchawa wako umekupofusha hadi unashindwa kuunganisha dots. Mbona hizo burudani na matamasha ya wasanii huwa yanaongezeka kwa kasi pale tu kunapokuwa na vuguvugu la kudai haki?
 
Kwahiyo watu wasifanye Mambo ya burudani eti kwasababu ya Siasa
 
Lioneni hili zombie, hivi ni hawana akili? Au? Michezo ni maisha ya watu nyie wapuuzi acheni kulazimisha siasa. Chadema wangeweza wangesimamisha shughuli zote tuwajadili wao, chama cha hovyo kabisa tunahitaji Rais km Museveni wa Uganda, si mnaona Uganda imetulia baada ya yule mpotoshaji na msumbufu wa wananchi kuikimbia nchi, hata wakati wa Magu nchi ilitulia hao wapuuzi walikimbia nchi huyu mwanamke mzanzibari ameturudishia hizi laana! Nchi gani kila wakati ni wa siasa? Wananchi hawatulii kufanya shughuli zao ni kuijadili chadema, ni mikutano, maandamano, nchi gani hiyo!
Mawazo ni sahihi lakini yameshapitwa na wakati enzi za kina wasira ndio walikuwa na altitude hizo, kwa sasa siasa safi ndio zao la hizo shughuli za watu bila ivo unaweza ukadhani uko salama lakini kesho ukafikiwa vizuri tu. Utadhurumiwa ukidai haki yako mwenye pesa nyingi anashinda. Ukubwa wa kichwa sio tafsiri ya kuwa umebeba ubongo mkubwa laa inawezekana likawa fungu kubwa la kamasi limechukua nafasi kubwa
 
Back
Top Bottom