Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu masuala ya siasa na kusema uwepo wake utasaidia kupunguza joto la kisiasa lililopo nchini.
Haya ni baadhi tu ya maoni ambayo wananchi walituma...