Natumaini sote ni wazima wa afya. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kupata kazi iwe ya kujitolea(volunteer) au kuajiriwa katika mashirika ya kimataifa ( UN, UNHCR, UNDP,FAO,USAID,UKAID nk.).
Iwe ni skilled work au unskilled work, yoyote tu. Mimi ni university graduate wa 2021. Asante.