Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena.
Niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni ilyotegemea furaha kutoka kwangu imeumizwa na uwepo wangu. Aibu ndio utakuwa mwisho wangu.
Ahsanten wanangu