Salam bosses! Mnajua kuna vitu vinafurahisha sana, tena sanaaa[emoji3]
Hivi nini maana ya Fogo? Fogo ni mwanaume mwenye fedha nyingi zilizopitiliza uwezo wa wastani wa kipato cha raia wengi wa nchi husika, ambaye pia ana elimu au maarifa ya kutosha. Sambamba na kuwakumbatia wahitaji.
Tuelewane...