Habari zenu
Kuna demu fulani hivi tabia zake zimenishtua, yaani yeye hapendi mapenzi ya taratibu, anapenda fujo kinoma, haswa kitandani.
Ikifika muda wa sex yeye anataka fujo, hataki zile za slow motion, hataki zile za Shah-rukh-khan, sijui ufanye vitu in slow motion, passionately and neatly...