matokeo ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    LGE2024 ACT-Wazalendo kupinga matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa Mkuranga

    Leo, tarehe 6 Machi 2025, Wakili Mwanaisha Mndeme amewasilisha shauri la uchaguzi katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akiwawakilisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Tambani, wilayani Mkuranga, kupitia chama cha ACT Wazalendo. Shauri hilo limewasilishwa...
  2. LGE2024 Matokeo ya uchaguzi mtaa wa Geza Ulole, Kigoma yabatilishwa na Mahakama

    Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini ukiukwaji wa taratibu na miongozo ya uchaguzi. Uamuzi huo umetokana na kesi iliyofunguliwa na...
  3. Pre GE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  4. Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    1. Rais Samia 2.Dr. Nchimbi 3. Paul Makonda 4. Mrisho Gambo 5. Lucas Mwashambwa 6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D 7. Crimea 8. Gwajima 9.Job Ndugai
  5. Pre GE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

    Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi mawili kwenye Uchaguzi ngazi ya Uenyekiti kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu yakitarajiwa kuibua...
  6. LGE2024 Njombe: Maombi ya Viongozi wa Dini yatajwa kuchagiza Amani wakati wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hii kali! Kuna uchawa afu kuna hii! ==== Maombi ya viongozi wa dini mkoani Njombe yaliyofanywa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Hapo Novemba 27 Mwaka huu yametajwa kusaidia zoezi hilo kufanyika kwa salama bila kuripotiwa kwa matukio ya mauaji wala vurugu. Wakizungumza ofisi kwa...
  7. LGE2024 Chama cha MAKINI kimeipongeza TAMISEMI kwa kusimamia vizuri Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao! Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha MAKINI ambacho...
  8. LGE2024 Mbeya: CHAUMMA wafanya pati ya Ubwabwa baada ya Ushindi wa kiti 1 cha Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni...
  9. LGE2024 Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana! ===== Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za viongozi wa Serikali wa mkoa wa Tanga pamoja na wananchi katika kuhakikisha uchaguzi wa Serikali za...
  10. LGE2024 TLP: Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki ila Wapinzani hatukujiandaa kama CCM

    Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema...
  11. LGE2024 Chama cha NLD chaipongeza CCM kwa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Serikali za mitaa

    Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na kubainisha kuwa wamejifunza mambo mengi sana kutoka CCM katika uchaguzi huu wa serikali za...
  12. LGE2024 Katavi: Inadaiwa Rhoda Kunchela aitwa polisi kwa mahojiano. SACP Ngonyani asema kama kaitwa aitikie wito na si kukimbilia kwenye mitandao!

    Wakuu, Inadaiwa kuwa Jeshi la Polisi mkoani Katavi kupitia kwa Mkuu wa Upelelezi mkoani humo limemuita kwa mahojiano Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Katavi Rhoda leo, Jumamosi Novemba 30.2024 asubuhi Kwa mujibu wa Rhoda mwenyewe, amedai kuwa kupitia wito huo aliopatiwa Novemba 29.2024...
  13. LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

    Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani -...
  14. LGE2024 Zitto Kabwe: Tunataka kuhakikisha hatulalamiki tu bali tunachukua hatua tunakwenda mahakamani kufungua kesi 67

    Wakuu, Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa; "Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi 67, tunamshtaki msimamizi uchaguzi wa manispaa, msimamizi msaidizi wa uchaguzi na aliyewatangaza...
  15. M

    Pre GE2025 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025

    Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati. Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025. Kwa yaliyotokea kuanzia maandalizi na matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa imeonyesha hakuna uwazi katika...
  16. LGE2024 Polisi: Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA hakutekwa, alijificha ili asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa

    Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa alitekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mnano...
  17. LGE2024 ACT Wazalendo: Vyombo vya Dola vilitumika kuweka kura bandia kwenye maboksi ya kura

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/y9aCDGcQnto?si=d5b_CohHLJqdeUuh Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Dorothy Semu anazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari leo katika ofisi kuu za chama hicho Magomeni jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu anatarajiwa kuzungumzia mambo...
  18. LGE2024 Makalla: Ushindi wa CCM umechangiwa na migogoro ya wapinzani, CCM imeonesha Demokrasia

    Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono...
  19. Pre GE2025 Matokeo ya uchaguzi yanatoa taswira gani katika uchaguzi wa 2025?

    Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini kuna athari kubwa ya matokeo yanayotengenezwa. Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi...
  20. LGE2024 Taasisi ya FOTO: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa na Huru na Haki

    Wakuu, Haya tuendelee na unafiki! ===== Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na kuthibitisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024 umekuwa wa huru na haki. Kauli hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…