mauwaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mauwaji ya Oktoba 29: wagombea wachunguzwe historia ya ubinadamu wao.

    Wajumbe. Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake. Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia. Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake. Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

    Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo. Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na...
  5. JamiiForums Tanzania Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika

    Mauwaji na utekaji sio jambo dogo la kutuweka pamoja ndio maana wananchi wamegawanyika na ajiandae kuona jeshi likiasi hatuwezi kuwa kitu kimoja. Mauwaji na utekaji hauwezi kutujenga kitu kimoja bali ni kulazimisha uadui na vita ambavyo haviepukiki.
  6. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja

    Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja. Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
  7. JamiiForums Tanzania Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  9. JamiiForums Tanzania JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

    JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  11. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  12. JamiiForums Tanzania Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  14. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  16. JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii kauli ya tutawakata vichwa kwa mapanga ikiichwa, ni rasimi kwamba serikali hii inabariki wauwaji?

    NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
  18. JamiiForums Tanzania Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
  19. JamiiForums Tanzania kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  20. JamiiForums Tanzania Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauaji wa Oktoba 29? Au waliokufa ni punda?

    Mbona JWTZ haitoi pole wala vitisho kwa wauwaji wa October 29 au waliokufa ni punda. Anasimama mtu anasema heti hajihusishi na siasa mpaka watu wanauliwa alafu wao na wanasiasa mafisadi wamekaa kimya ni vipi hapo hawajihusishi na siasa huu ni uchizi. Jeshi liitwe jeshi la wanasiasa sio la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…