Habari wadau
Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta, chumvi, sukari, protini na wanga yani vitu km karanga, soda, biskuti, chocolate nk siwez kuiviorodhesha vyote apo ili mradi kisiwe na ingridient ya vitu...