Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki.
Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam.
Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji.
Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...