mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  2. Fredy Koublani ni mchezaji mzuri sana akitumiwa vizuri ataisaidia sana SIMBA SC atafanya maajabu NBC PL.

    Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa. Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo) Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
  3. Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

    Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1. Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
  4. N

    Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  5. Kibu Denis anakaza anapokutana na Yanga tu

    Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana...
  6. S

    Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  7. Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

    Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
  8. Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  9. Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  10. Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  11. Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
  12. Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  13. Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa. Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya, Juan Roman Riquelme Kevin Prince Boateng George Magere Masatu Jina gani huwa linakuvutia?
  14. D

    Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  15. J

    Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  16. Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  17. LeBron James avunja rekodi yake NBA, ni mchezaji pekee duniani kufikisha Pointi 40,000

    MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA) Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
  18. Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

    Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi. Ni bonge la mchezaji.
  19. M

    Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya mechi. Kwa maoni yangu ninaona linaweza kuharibu umoja na mshikamano kwa wachezaji kwani kunaweza...
  20. D

    UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

    short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji. for more details here
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…