mdude akamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana. "Wito wangu ni tukemee...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la kutekwa kwa Mdude, mzee afichua jinsi Polisi walivyomfuata kutaka awasaidie kumfanyia Ujasusi ili wampate

    Wakuu, Mungu anaendelea Kuwaumbua. Kwa madai ya huyu mzee ALIFUATWA NA POLISI TANZANIA, MZEE ANAMTAJA POLISI KWA MAJINA YAKE, MZEE ANASEMA, JUZI JUZI JUZI walimfuata Nyakati za usiku, wakimuahidi malipo ya Pesa anayotaka, iwapo atafanikisha kuwaambia Mdude Nyagali anakaa wapi . Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

    Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi. Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wa Mdude: Tusifiche na tusisingizie mtu, waliomchukua mume wangu ni Polisi. Polisi wa Tanzania wana roho mbaya sana

    Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao. Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba. "Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ukimya wa Rais dhidi ya vitendo vya ukandamizaji unaoendelea ni wa kutia wasiwasi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani kwa nguvu zote tukio la kushambuliwa, kupigwa na kukamatwa kwa mwanaharakati wa haki za binadamu, demokrasia na mwanachama wetu, Mdude Nyagali, usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025, nyumbani kwake mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

    Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
  7. JamiiForums Tanzania Mdude alia kwa uchungu asema "Hawa watu wananitesa sana"

    "Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana. "Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali PIA SOMA - LGE2024 - Polisi wasema kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…