Habari zenu wanazengo.
Moja kwa moja nijikite kwenye hii maada aisee ukisitaajabu ya musa utaona ya farao,na mengine mengi.
Hizi social media zote zinawatu waajabu sana,hata huku jamii forums kuna watu waajabu sana.
Kuna watu wapo nyuma ya button za simu wanajiona mabouncer hata kwenye mkono...