meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN — The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
  2. MK254

    Meli ya doria ya Urusi yapigwa bomu na Ukraine

    Mambo mengi, muda mchache ila tunaleta zote. ========= RUSSIAN PATROL VESSEL PAVEL DERZHAVIN. PHOTO: RIA NOVOSTI On 11 October, the Pavel Derzhavin, a patrol vessel of Russia's Black Sea Fleet was damaged in the Black Sea near occupied Sevastopol. Source: Captain 3rd Rank Dmytro...
  3. Offshore Seamen

    Meli ya Vitabu Bandari ya Dar es Salaam "Mv Logos Hope" yaingia tena baada ya miaka 7

    Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani. Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
  4. Jackal

    Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

    Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔 ..... https://m.jpost.com/international/article-761179
  5. Roving Journalist

    Mrisho Mrisho: Meli zitenganishwe Muda wa kuwasili ili kupunguza foleni ya abiria

    Baada ya Mdau kueleza juu ya kero ya foleni kwenye Bandari ya Dar es Salaam hasa kwa abiria wanaotoka Zanzibar, Mamlaka ya Bandari umeeleza kuwa changamoto hiyo imemalizika baada ya kufungwa kwa mashine mbili kubwa za kukagua mizigo "scanner". Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho...
  6. MK254

    Meli ya pili ya Ukraine iliyosheheni ngano yafika Uturuki salama, Urusi haina kete tena

    Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia... Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul A second cargo ship...
  7. JanguKamaJangu

    Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  8. MK254

    Urusi watorosha meli tatu za kivita baada ya meli kadhaa kulipuliwa

    Hadi aibu jameni, supapawa ameshindwa kulinda meli zake za kivita, zinapigwa kizembe sana na drones...... After successful Ukrainian attacks on a large landing ship and a submarine in occupied Sevastopol, the Russians relocated three large assault landing ships from the Black Sea to the Azov...
  9. LUS0MYA

    Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  10. MK254

    Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

    Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida.... A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September. Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
  11. MK254

    Ukraine walipua meli mbili za doria za Urusi

    Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga..... Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian...
  12. MK254

    Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

    Haya madubwana yamepigwa kizembe sana, aisei Urusi ilijiingiza kwenye aibu. Ukraine's attack on the ships of the Russian Black Sea Fleet in occupied Sevastopol can be considered a great success: a large landing ship was hit for the third time, and a submarine was hit for the first time. It...
  13. Papaa Mobimba

    NADHARIA Kapteni Edward John Smith alisema 'Hata Mungu asingeweza kuzamisha hii Meli' (Titanic)

    Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912. Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
  14. B

    Meli ya Mirembe Judith kupunguza msongamano wa makasha bandari ya Dar es Salaam

    06 August 2023 UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na kampuni ya kitanzania itakuwa inafanya kazi ya transhipment baina ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar...
  15. HIMARS

    Ukraine yashambulia meli kubwa ya Urusi

    [emoji298]️The Security Service of [emoji1255]Ukraine conducted a special operation in [emoji635]Novorossiysk Bay: the large landing ship Olenegorsky Gornyk was damaged. The video shows how a surface drone, saturated with 450 kg of TNT, attacks a Russian ship with about 100 crew members. The...
  16. Jackal

    Meli ya Israeli yavunja katazo la Urusi kuzuia Ngano isisafirishwe kutoka Ukraine kupitia Black Sea

    An Israeli merchant ship that embarked from the Port of Ashdod Monday became the first vessel to openly defy Russia’s blockade of the Black Sea since they pulled out of a deal with Ukraine allowing the country to export grain from its ports in mid-July, Ukrainian news outlet Militarnyi reported...
  17. JanguKamaJangu

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linazungumza na Wanahabari, leo Julai 27, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
  18. MK254

    Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

    Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi. KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
  19. R-K-O

    Meli inapozama si kwamba watu wote wanakufa maji kwajili ya kushindwa kuogelea, anaejua kuogelea atagombaniwa na kuzamishwa

    Na hii hali inatokea hata meli ikipinduka umbali mdogo tu kutoka nchi kavu. watu huwa wanapanik sana meli ikipinduka kila mtu asiejua kuogelea anachowaza ni kupata sehemu yoyote ya kujiokoa. Kwa wale wanaojua kuogelea hupata mtihani maana meli inapopinduka mnakuwa wengi sehemu moja, shughuli...
  20. BUSH BIN LADEN

    Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
Back
Top Bottom