Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi...
Wanaukumbi.
Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua ambayo inaashiria kuongezeka kwa kuchanganyikiwa kwa vita huko Gaza.
Nchi hiyo pia inapiga marufuku...
Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana.
Hali hiyo imelazimisha viwanja vyote vya Israel kutokuwa salama kwa safari za anga kupelekea wafanyakazi...
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb.
Mohamed Abdel-Salam hakutaja huo upande wa pili katika mazungumzo hayo lakini akasisitiza kuwa msimamo wa...
Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini.
Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri.
Tazama tukio Zima la...
Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba,
"Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.
Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
Wanaukumbi.
🇾🇪🇮🇱 The Yemenis have turned the captured Israeli ship into a tourist attraction
Visitors are seen dancing, smoking waterpipes, and chilling on the ship.
===============
🇾🇪🇮🇱 Wayemeni wamegeuza meli ya Israel iliyotekwa kuwa kivutio cha watalii.
Wageni wanaonekana wakicheza...
Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza.
Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden
Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa...
Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote.
Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu...
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran."
Afisa huyo alizungumza na shirika la habari la Associated Press kwa sharti la kutotajwa jina na kusema kuwa meli...
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel.
Kwa bahati mlinzi wa Israel ameweka meli yake ya kivita ya kisasa kwenye bahari nyekundu ambayo ilifanikiwa...
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha
Yemen [emoji779] [emoji1267][emoji1134]Israeli Ship Seizure Update
Israeli media confirmed that Houthis attacked a...
Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo.
Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya...
Mzuka wanajamvi,
Baada ya Opec ikiongozwa na kushinikizwa na Russia na Saudi Arabia kupunguza uzalishaji wa mafuta ili bei ipande. Upepo umebadilika. Sasa hivi Marekani wameamua kuachia mafuta yao kuyauza kwa wingi kwenye soko la dunia.
Meli kubwa za mafuta 48 supertankers ziko njiani baharini...
MELI YA MV. MBEYA II YAREJESHA SAFARI KWA KISHINDO
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amefanya ziara katika Bandari ya Kiwira (zamani Itunge) Wilayani Kyela ambapo ameshuhudia kuanza tena kwa safari za meli ya MV. Mbeya II ambayo ilikuwa imekwama kufanya safari zake kwa miaka kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.