michezo

  1. C

    Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  2. Ufisadi wa kutisha Wizara ya Habari na Michezo

    Ofisi nzima kuanzia waziri wapo Uturuki kuponda raha eti wameenda kushangilia timu ya Walemavu/Tembo Warriors. Swali: Hii wizara kazi yake ni moja tu kushangilia Tembo Warriors? Huu ni ufisadi was kutisha, rudini mhudumie wananchi wizi ni dhambi. Tangu msifiwe na Rais sasa imekuwa ndio tiketi...
  3. Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

    Tazama hapa. wenyewe wanaona rahaa
  4. N

    Hii picha ni ya leo? Basi Yanga na Al Hilal wanachezeana michezo ya kitapeli

    Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted. Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
  5. N

    Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

    Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
  6. Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

    Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki. Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
  7. T

    AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  8. L

    Nguvu ya Michezo

    Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa muda wa saa 2, dakika 1 na sekunde 9. Kikomo cha uwezo wa binadamu kimevukwa tena. Kwa Wachina wengi...
  9. J

    Bashungwa: Michezo mashuleni ina nafasi kubwa ya kudumisha Jumuiya ya Afrika Mashariki

    MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA Na OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwekeza kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na...
  10. Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  11. Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  12. Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  13. Dkt. Abbasi awataka Idara ya Michezo Kukamilisha Nyaraka za Miradi haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake. Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
  14. Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  15. C

    SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  16. SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  17. E

    Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  18. N

    Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

    Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa. Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC...
  19. C

    Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  20. P

    SoC02 Elimu, sanaa, michezo na ukombozi wa ajira

    Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia. Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…